Nataka kusoma PhD: naombeni mawazo yenu

Tafuta Hela achana na habari za shule
 
Binafsi nakushauri kama unayo nafasi kusoma Phd, soma ungalipo na nguvu. Elimu yako ina advantage pande zote mbili, usome au usisome, unaweza kutoboa. unachotakiwa ni kumtafuta Mungu akusaidie njia tu.

why? ni kwasababu ukiwa na degree ya elimu, na ya pili public administration, omba Mungu akupe connections unaweza kupata hata uteuzi umanage watu wengine (public administration)ukawaongoza vizuri tu kwenye siasa huko. jiunge na chama..........,

kwa upande mwingine, ukisoma Phd hasa nje ya nchi (kwasababu ndani ya tz phd itakuchukua si chini ya miaka 7 kutokana na urasimu) nje ya nchi unaweza kupata kwa miaka 3 au 4. ukiwa nayo ni asset kubwa sana hata kuwa attached kwenye vyuo vikuu maisha yako yote hata kama umezeeka unatembelea mkongojo. Univiersities huwa zinakuwa ranked, pamoja na mambo mengine, na uwepo wa PHD holders na professors. hivyo ukiwa na phd wewe ni lulu kwa vyuo vikuu watakuattach tu ili kujenga cv ya chuo chao na wakati huohuo ukiwa na phd plus hiyo elimu yako uliyo nayo sasaivi ukatafuta channels kwa uwezo wa Mungu unaweza kuwa mwanasiasa mkubwa tu. ningekuwa mimi ningefanya hivyo. (binafsi ni mwanasheria na siwezifanya hivyo unafanya wewe kwasababu hadi natembelea mkongojo nitakuwa na uwezo wa kugonga hata mhuri wa mkataba tu nikapata pesa).
 
daah mkuu una hekima sana. Nimefurahi sana jinsi ulivyomjibu huyo tahira hapo juu. Hakika usomi si kingereza.
Mimi si mtaalamu ngoja waje kukupa muongozo
Karibu, unaweza sema chochote tunajifunza sote hapa kuna watu wanasoma wataondoka na kitu si mimi tu.
 
Nimeuchukua ushauri wako kiongozi. Nashukuru sana.
 
Wewe yaonyesha utachukua muda mwingi sana kukamilisha PhD tena nimeona watu wengi wanakupoteza zaidi, kifupi wote mnapotezana. Kabla ya kufikiria kusoma PhD fikikia genuine problem you plan to figure out/fix ( the gap u plan to fill.
 
Wewe yaonyesha utachukua muda mwingi sana kukamilisha PhD tena nimeona watu wengi wanakupoteza zaidi, kifupi wote mnapotezana. Kabla ya kufikiria kusoma PhD fikikia genuine problem you plan to figure out/fix ( the gap u plan to fill.
Kwa nini unasema watu wananipoteza mkuu?
 
mkuu wewe elimu yako kubwa sana. Sasa nakushauri nini mimi ndugu yangu? Wew ndio unishauri mm
Hapana kujifunza sio elimu ya kukaa darasani peke yake. Kila mtu ni mwalimu na kila mtu ni mwanafunzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…