habar waheshimiwa natumain mko safi....
naomba kuuliza et ninapenda kusoma computer science sasa sijui ni comb gan A level nasitahili nisome ili nitimize malengo yang au kama kuna alternative ya kusoma chuo cirtificate na diploma niambie na n vigezo gani wanaangaalia sana
ahsanten sana mbarkiwe
kama ni udsm pcm na pgm unaenda...kwa vyuo vingine wanachukua pcm pgm pcb egm....jua wanacheki sana maths!!! na ujue inategemea na vyuo!!!habar waheshimiwa natumain mko safi....