Nataka kusomea Computer Science, ni masomo gani nichukue A-Level?

luckers

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
64
Reaction score
2
habar waheshimiwa natumain mko safi....
naomba kuuliza et ninapenda kusoma computer science sasa sijui ni comb gan A level nasitahili nisome ili nitimize malengo yang au kama kuna alternative ya kusoma chuo cirtificate na diploma niambie na n vigezo gani wanaangaalia sana
ahsanten sana mbarkiwe
 
PCB inakufaa
 
kama ni udsm pcm na pgm unaenda...kwa vyuo vingine wanachukua pcm pgm pcb egm....jua wanacheki sana maths!!! na ujue inategemea na vyuo!!!
 
Thanks alot wakubwa........ Kazi nzuri tuendeleen na moyo uwo uwo ahsanten
 
Back
Top Bottom