mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25.Baada ya kutafuta maisha bila mafanikio kama kuna mwenyeji wa bumbile , Makibwa, goziba, anidokeze yafuatayo
1. maisha yalivyo na mazingira ya kule
2. fursa zinazopatkana huko visiwani.
Maisha ya huko ni ghali sana maana bidhaa zote hupelekwa kutoka nchi kavu,
Kipato cha kule ni aina mbili aidha uwe mfanya biashara au mvuvi.
Hapa kwenye biashara zipo aina nyingi
Kuna wauza bidhaa kama maduka, wanaomiliki guest house, wauza baa na pombe za kienyeji kama gongo na wachuuzi wa samaki.
Shida kubwa ya kule hizo biashara zote hutegemea upatikanaji wa samaki.
Hope umepata mwanga