Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
- Thread starter
-
- #21
Tayari lina mtu.Mshan jr
Kashara Chuda litafanana na Chuda Kashara, mimi sipendi iwe ivo.Sasa tukikupa jina si tutakugundua tuu
Linamaanisha nini?mkwisi
Hilo jina kubwa sana....wauza shisha hawataniacha.Makonda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Makonda
Basi magoma ganuKashara Chuda litafanana na Chuda Kashara, mimi sipendi iwe ivo.
NyambiziAsante sana mtaalam, Power saver limetulia.
Nyambizi linatumiwa na mtu.Nyambizi
Atleast linasound fresh.Basi magoma ganu
Iite "id ya pili"Mabibi na Mabwana wa jukwaa Salaam.
Umekuwepo uhitaji wa kuwa na ID ya pili kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wangu.
Tatizo napata shida ya kubuni username bandia, nimekuja kwenu kuomba ushauri.
Je ungependa niipe hii ID mpya jina gani?,,,,,,,Karibuni kwa mapendekezo.
Kweli hapa umewaza, nayalist ili nije kuchagua jina bora zaidi.Iite "id ya pili"
Boss ndo umependekeza nijiite Dah?
Sijawahi kukopa nikachelewa kulipa Boss wangu, kwa maana hiyo jina litanipwaya.Mdaiwa sugu
Gweta
Asante boss kwa mapendekezo, je yana maana ipi hayo majina?Kadabra
Asante Boss,...tatizo jina lina K then linaishia na NDU, huoni nitafikiriwa vibaya?" KIRUNDU " ILI LIME KAAJE MKUU WANGU?