Nataka kutengeneza id ya pili, nipatie username

Nataka kutengeneza id ya pili, nipatie username

Kuna siku walinipiga Ban nikafungua Id nyengine kulalamika baada ya kusikilizwa ikafutilitiwa mbali!hata nilipotaka ku-login na ile acc haikupatikana tena hadi leo.
Labda ni kwa sababu walikugundua umefungua ID ya kulalamika.Nakushukuru kwa mchango wako Boss wangu, Mungu akubariki sana.
 
Back
Top Bottom