Nataka kutengeneza id ya pili, nipatie username

Nataka kutengeneza id ya pili, nipatie username

Mabibi na Mabwana wa jukwaa Salaam.

Umekuwepo uhitaji wa kuwa na ID ya pili kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wangu.

Tatizo napata shida ya kubuni username bandia, nimekuja kwenu kuomba ushauri.

Je ungependa niipe hii ID mpya jina gani?,,,,,,,Karibuni kwa mapendekezo.
Nakushauri usome sheria za jf kwani hairuhusiwi kutumia ID mbili mkuu, unaruhusiwa kubadili ID na sio kuwa na id mbili Chuda
 
Back
Top Bottom