Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
- Thread starter
- #81
Hilo jina lina maneno mengi sana Boss wangu, pendekeza lenye maneno machache.Moderator Start follow you!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jina lina maneno mengi sana Boss wangu, pendekeza lenye maneno machache.Moderator Start follow you!
Shkrani Boss, linaleta maana kusudiwa.Ipe jina la FAKE_ID.
Hilo halieleweki boss, pendekeza lingine.Matta** bar
Kwanza ni jina la kike, then mwenye nalo akijua nalitumia hapa JamiiForum lazima moto uwake kule 'gram.Mangekimambiz
Nenda jukwaa la Maoni, malalamiko na pongezi utapata threads za kutatua shida yako.Ata Mimi nataka kubadikisha id yangu nashindwa pa kuanzia
Asante Boss wangu, nitayapitia mapendekezo yote kupata username bora.Nadhani aliyepo ni ni mshana Jr kuna kajiutofauti
Miss chaggaMabibi na Mabwana wa jukwaa Salaam.
Umekuwepo uhitaji wa kuwa na ID ya pili kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wangu.
Tatizo napata shida ya kubuni username bandia, nimekuja kwenu kuomba ushauri.
Je ungependa niipe hii ID mpya jina gani?,,,,,,,Karibuni kwa mapendekezo.