Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
- Thread starter
- #61
Nitalifikiria pendekezo lako.Asante kwa mchango wako Boss.Kwann usiite "ID mpya"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitalifikiria pendekezo lako.Asante kwa mchango wako Boss.Kwann usiite "ID mpya"
Labda ni kwa sababu walikugundua umefungua ID ya kulalamika.Nakushukuru kwa mchango wako Boss wangu, Mungu akubariki sana.Kuna siku walinipiga Ban nikafungua Id nyengine kulalamika baada ya kusikilizwa ikafutilitiwa mbali!hata nilipotaka ku-login na ile acc haikupatikana tena hadi leo.
Baridah.Pogba wa pili
Hapana hilo halifai."GRAVE"
Amina pamoja mkuu.Labda ni kwa sababu walikugundua umefungua ID ya kulalamika.Nakushukuru kwa mchango wako Boss wangu, Mungu akubariki sana.
Basi jiite hainaga ushemejiNyambizi linatumiwa na mtu.
Hili litanifaa,...sig yake itakuwa KONYAGI MPANGO MZIMA, JIRANI ACHA MBWEMBWE.Anthony Lusekelo
Nadhani aliyepo ni ni mshana Jr kuna kajiutofautiTayari lina mtu.
Ata Mimi nataka kubadikisha id yangu nashindwa pa kuanziaMulti Id JamiiForums haitakiwi mkuu,why usiwaombe Mods wakubadilishie hii unayotumia?nasikia ukiomba unakubaliwa.
Pasi shaka hili ni jina pendwa sana maana wengi wamelisuggest....barida Boss nitalifikiria.dr. juma maharage
Linamaanisha nini? isijekuwa tusi.Msuele