Hakuna pahala niliposema ID ya JF Boss wangu......Don't get me wrong.Nakushauri usome sheria za jf kwani hairuhusiwi kutumia ID mbili mkuu, unaruhusiwa kubadili ID na sio kuwa na id mbili Chuda
Chura wa Snura?....yule ananyota ya kufungiwa simtaki.chura
kende
magu
kata funua
Sio mchoyo.
Mniombeee
Asanteni sana wakuu kwa michango yenu.Mojawapo ya majina pendekezwa litaanza kutumika siku za usoni.mdananda au chura anarukaruka
watu wana id adi 8 na zote zipo active weweHakuna pahala niliposema ID ya JF Boss wangu......Don't get me wrong.