Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Why so much hatred thoughSexy voice ina maana unataka kulaghai watu waseme unasauti nzuri wakati sio yako?
Unapenda kupewa sifa ambazo sio zako?
Why these days people tend to be so fake?
MmmhSexy voice roho ya paka
Kwani si umpigie simu halafu ujiseksishe..!!??Samahani wale ma IT na computer science mlioko huku
Nataka kutengeneza Sexy Voice Kwa kutumia audio, ndio na edit nini au kuna app gan natumia?!
Mume Yuko mbali so lazima nimpagawishe🏃🏃🏃🏃
He's in the meetingKwani si umpigie simu halafu ujiseksishe..!!??
If at all this is the reason, the same reason itamfanya asiisikilize voice note yako..!! Msubirie amalize kikao ujiseksishe tena kwa video call..!!He's in the meeting
Ipi??Lainisha sauti hiyo bibie.
DuMvua jua sexy voice burna boy
Hela sikupi babe
Bado hujasaidia bruUnachojaribu kufanya ni a classical computer science problem, speech to speech conversion, unaweza kuanzia hapa
View attachment 2742228
Nitwangie 📲 kwanza ili nifahamu kama unahitaji msaada wa editing or yako pekee inatosha😅Ipi??
Nakutumia inboxNitwangie 📲 kwanza ili nifahamu kama unahitaji msaada wa editing or yako pekee inatosha😅
Haipo huku playstoreDownload talking tom