Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #41
Jina la app nipekomaa na sauti yako hiyohiyo kama ya masatu wassira. Ila zipo AI za kutosha tuu una upload sauti lako inakupa sauti ya rihanna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina la app nipekomaa na sauti yako hiyohiyo kama ya masatu wassira. Ila zipo AI za kutosha tuu una upload sauti lako inakupa sauti ya rihanna
Wewe ndio uko mtaroni kabisaaWewe una shida mahali
Mbona barua hiviHamna Sexy Voice ni vile utaamua ji tune na kuongea na kupangilia maneno.
Sex Voice How, kuwa na sauti nzito inaweza pia kuwa sexy,ni vile unaongea kwa taratbu,upole,unyenyekevu na kwa poze.
Mwanamke ukiongea taratbu,kwa nukta,kwa koma na kuvuta pumzi hata uwe na sauti ya aina gani huwa inageuka kuwa sexy.
Sio sauti zito maneno unayaongea ongea kama umekula makande then unategemea kuwa sexy voice.
Sexy Voice ni sauti ya upole yakubembeleza isiyoumiza masikio na yenye kueleweka na kubembeleza.
Msikilize DIVA akiongea kwa Kipindi, Msikilize Akicheka utajua maana ya sexy voice.
lakini Diva huyo huyo mkute Kidimbwi utajua kweli Redio zinatupumbaza.
Wema Sepetu has one sexy voice, why?! sauti yake haikeri,haiumizi,sio kali, hata akishout ni kama analalamika yani,ili ujue wema kakasirika ni mpaka umuangalie usoni au apayuke sauti kubwa.
Wewe usitumie APP jibadilishe wewe kwanza anza kuwa mtaratbu,behave kama mwanamke,kuwa na mapozi ya kike,nk utaona sauti inavyobadilika bila hata APP.
msaada mkubwa unaotakiwa uupate ni Kukubali ulivyo na ubadilike.
Za Mwanza [emoji85]Ndo nn dada Teo [emoji23]