Mmiliki wa ardhi ya Tanzania anapaswa kuwa mtanzania. Sasa kuna mkenya kanunua ardhi kwa wanakiji fulani akijua wazi kuwa yeye hastahili kuipata hiyo ardhi.
Pia hili la ardhi lilikataliwa hata kuingizwa katika mkataba ule wa nchi za Afrika Mashariki.
Sasa, naomba mwongozo/msaada wa kisheria namana ya kumzuia asimiliki hiyo ardhi. Bado hajapata hati miliki.