Nataka kutimua WAKENYA!

Nataka kutimua WAKENYA!

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
1,933
Reaction score
988
Mmiliki wa ardhi ya Tanzania anapaswa kuwa mtanzania. Sasa kuna mkenya kanunua ardhi kwa wanakiji fulani akijua wazi kuwa yeye hastahili kuipata hiyo ardhi.
Pia hili la ardhi lilikataliwa hata kuingizwa katika mkataba ule wa nchi za Afrika Mashariki.

Sasa, naomba mwongozo/msaada wa kisheria namana ya kumzuia asimiliki hiyo ardhi. Bado hajapata hati miliki.
 
Kwa madhumuni ya uwekezaji kama yanavyoainishwa na Tanzania Investment Centre anaruhusiwa kumiliki ardhi na huwa anapewa kitu kinachoitwa DERIVATIVE RIGHT. Kwa msaada zaidi tafuta sheria ya ardhi ya Tanzania na usome kifungu cha 20(2). Ila kama ni kwa madhumuni ya makazi tu, haruhusiwi.
 
Kif cha 59(2) cha sheria ya ardhi kinamruhusu mtu asiye raia kuweza kumiliki ardhi kwa minajiri ya uwekezaji tu. Na hapa hupewa derivative right tu. Kabla ya hatua yako lazima ujiridhishe, ni muwekezaji au la.
 
Back
Top Bottom