Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Mimi ni mteja wa CRDB na mshahara wangu unapitia hapo, sasa nataka kutumia kadi yangu kufanya manunuzi ila nitatumia paypal kwa usalama wa fedha, je kuna tatizo au niendelee na hatua nyingine? Kuna mazaga mengi natamani kuyanunua ebay, alibaba na amazon.