snagnax
Member
- Apr 22, 2012
- 49
- 9
good morning,..nimekuwa na tatizo la kuwa mwembamba sana kiasi cha kunifanya nijione tofauti na wenzangu!...lakini katika research zangu za kukabiliana na hili tatizo nikapewa taarifa na mtu aliyeko nje ya nchi kwamba {anabolic steroids} inaweza kunisaidia
swali langu ni
1.steroids zina madhara gani?
2.steroids zinapatikana hapa nchini?
3.na kama zipo hapa nchini,ntawezaje kuzipata??
i'll be most greatfull if u help me because this problem of being skinny is killing my self-esteem