Nataka kutumia ushawishi wangu kusababisha uhaba wa chumvi nchini

Nataka kutumia ushawishi wangu kusababisha uhaba wa chumvi nchini

Chumvi ipo nyingi sana duniani hata utumie njia Gani haiwezi kuadimika, Kuna 35g ya chumvi kwenye Kila Lita ya maji ya bahari ndugu
Kwenye ndizi mbivu,miwa, viazi vitamu, mananasi, fenesi, maembe na matunda mengine mengi
Kuna kiwango gani cha sukari na uhusiano wake na ukosefu wa sukari nchini ukoje

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tofauti na miwa hapo unaweza kutengeneza sukari kwa hayo matunda mengine?na ukapata faida? Na miwa upatikanaje ukoje, kiufupi chumvi iliyopo tu kwa sasa ivi hata isipoongezeka binadamu tuliopo tunaweza kutumia mpaka wote, tukafa na tukaiacha, ukiona kitu kinauza kwa Bei rahisi ujue kinapatikana kwa urahisi, it's not rocket science
 
Kabisa supu za baa wataacha kujaza chumvi , plus kijiko kizima unawekewa pembeni!
 
Kwani ww hujawahi kula chakula ambacho hakina chumvi na kikashuka vizuri kabisaaa!!!?😀
 
Nataka packet 1 ya chumvi iuzwe Elfu 7 na chumvi iwe bidhaa adimu. Muda wa umaarufu wa sukari umekwisha, sukari si muhimu kama chumvi.

Nikileta uhaba wa chumvi mtanyooka si mijini wala mashambani.
Kwani chumvi zinazalishwa na nini? Vyanzo vyake ni vingi sana kuliko sukari ambayo ni zao tunda miwa
 
Back
Top Bottom