Nataka kutumia ushawishi wangu kusababisha uhaba wa chumvi nchini

Nataka kutumia ushawishi wangu kusababisha uhaba wa chumvi nchini

Tofauti na miwa hapo unaweza kutengeneza sukari kwa hayo matunda mengine?na ukapata faida? Na miwa upatikanaje ukoje, kiufupi chumvi iliyopo tu kwa sasa ivi hata isipoongezeka binadamu tuliopo tunaweza kutumia mpaka wote, tukafa na tukaiacha, ukiona kitu kinauza kwa Bei rahisi ujue kinapatikana kwa urahisi, it's not rocket science
Sukari haitengenezwi na miwa tu

Uwepo wa malighafi ya uhakika siyo hoja
Kukitokea tatizo kwenye uzalishaji wa chumvi ni nini kitafanyika kuhusu maji ya bahari ili chumvi isikosekane ni mchakato utakaochukua mda na bei ya chumvi itakuwa juu kabla ya majibu kupatikana



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hizo ndoto zako zinaweza timia siku maji ya bahari yakikauka dunia nzima.

Hata inapotoka chumvi upajui
 
Back
Top Bottom