Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutakua tunazama chumvini kwa mademu zetu na kuibuka na madini hayo adimu.
Mgodi wa binadamu pale kati Kati ya tutaTutatumia ile ya kwenye.......
Kwenye ndizi mbivu,miwa, viazi vitamu, mananasi, fenesi, maembe na matunda mengine mengiChumvi ipo nyingi sana duniani hata utumie njia Gani haiwezi kuadimika, Kuna 35g ya chumvi kwenye Kila Lita ya maji ya bahari ndugu
HahahahaMgodi wa binadamu pale kati Kati ya tuta
Tofauti na miwa hapo unaweza kutengeneza sukari kwa hayo matunda mengine?na ukapata faida? Na miwa upatikanaje ukoje, kiufupi chumvi iliyopo tu kwa sasa ivi hata isipoongezeka binadamu tuliopo tunaweza kutumia mpaka wote, tukafa na tukaiacha, ukiona kitu kinauza kwa Bei rahisi ujue kinapatikana kwa urahisi, it's not rocket scienceKwenye ndizi mbivu,miwa, viazi vitamu, mananasi, fenesi, maembe na matunda mengine mengi
Kuna kiwango gani cha sukari na uhusiano wake na ukosefu wa sukari nchini ukoje
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hizo nitaenda kuzipulizia sumuUmewahi Kufika Uvinza, Lindi, Mtwara
Nitapulizia sumu vyanzo vingine vya chumvi.Chumvi ipo nyingi sana duniani hata utumie njia Gani haiwezi kuadimika, Kuna 35g ya chumvi kwenye Kila Lita ya maji ya bahari ndugu
Kapulize sumu bahari kote sasaNitapulizia sumu vyanzo vingine vya chumvi.
Kwani chumvi zinazalishwa na nini? Vyanzo vyake ni vingi sana kuliko sukari ambayo ni zao tunda miwaNataka packet 1 ya chumvi iuzwe Elfu 7 na chumvi iwe bidhaa adimu. Muda wa umaarufu wa sukari umekwisha, sukari si muhimu kama chumvi.
Nikileta uhaba wa chumvi mtanyooka si mijini wala mashambani.