Tofauti na miwa hapo unaweza kutengeneza sukari kwa hayo matunda mengine?na ukapata faida? Na miwa upatikanaje ukoje, kiufupi chumvi iliyopo tu kwa sasa ivi hata isipoongezeka binadamu tuliopo tunaweza kutumia mpaka wote, tukafa na tukaiacha, ukiona kitu kinauza kwa Bei rahisi ujue kinapatikana kwa urahisi, it's not rocket science