Nataka kuvunja ndoa yangu na ndoa ya baba mkwe, naomba ushauri wako kabla janga halijatokea

Yaani dogo unajua kila kitu halafu unataka tukusaidie! Yaani umri wa miaka 30, mume na baba unadai kuwa huo ni mtihani!

Kama kwako huo ni mtihani mzito basi jiandae kushindwa kila mtihani.

Vv
 
Kuchati ngono na mtu tayari mshafanya mapenzi bado kuvuana tu Ili kuhitimisha
 
Utakula bullets uache watoto wanateseka kwa upumbavu
 
Imagine Jamaa aliemuoa Sister ako Apige Mama Yako...
Umemgeuzia kibao kabla ya mama mkwe kugeuza cha kwake. Hii safi kabisa, ingekuwa mama yake angekubali?

Hiyo mikwara ya mama mkwe kweli hawezi kuitegua kistaarabu? Maana hilo ni bomu la hydrogen likifyatuka litabeba wengi sana tena wa karibu kabisa.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] bro punguza urafiki,ukaribu,mawasiliano na hata kuonana nae mara kwa mara...kama kuupoteza ukaribu inakuwa kazi basi baba mkwe ndio awe mtu ambae utamzoea zaidi..pia kimaadili na kimipaka bro hauko fresh.Mkwe ni sumu au umesahau kipind cha utotoni uliposumbua kuoga mama anakuuliza,'hivi wewe mtoto kuoga imekuwa mkwe?"kwamba kuoga imekuwa ni tatizo?.Mkwe ni mkwe tu hawezi kuwa zaidi ya hapo.
 
punguza kuangalia filamu za nigeria, drama za korea, filipino na mexico au jifunze kufanya censorship, utazame nini na uwaze nini. Utajikuta umeingia kwenye kisima kirefu cha matatizo ambamo hautaweza kutoka
 
Sasa tunakushauri Nini ingali ushapata maamzi ya kutafuna, au unataka tuje tukushikie mguu?
 
Bora lawama kuliko fedheha, achana na mama mkwe, Mungu atakutetea kwa kuwa hujafanya nae chochote
 
Acahana na hii dunia, kama hayajakukuta shukuru.
Kwa kifupi mama mkwe wako ni popoma! Anataka kukuharibia ndoa yako mjinga mkubwa huyo! Na wewe mwambie akiendelea kunifuatilia utazitoa hadharani meseji zake anazojisifia urembo kumzidi binti yake!
 
Unajaribu Kueleza jinsi usivyo na Adabu na jinsi laana inavyokunyemelea Kwa Kasi ya 4G.

Hata kama ni Chai lakini maandishi yanamuelezea mtu ndani ya Nafsi yake
 
Kwa kifupi mama mkwe wako ni popoma! Anataka kukuharibia ndoa yako mjinga mkubwa huyo! Na wewe mwambie akiendelea kunifuatilia utazitoa hadharani meseji zake anazojisifia urembo kumzidi binti yake!


Wala mama Mkwe wake sio popoma. Hakuna ushahidi wa kuwa ni kweli mama Mkwe wake amefanya hayo anayosimulia.
Ila upo ushahidi wa wazi WA mtoa mada jinsi Nafsi yake ilivyoharibika kupitia maandishi yake.
Popoma ni yeye ambaye hajui mipaka yake.
 
Kama nakuona vile
 
Achana na hizo mambo, wewe shemeji yako akiwafanyia hayo utajisikiaje? Panga naye halafu siku hiyo toka na mkeo mkutane wote watatu, baada ya hapo mwambie mwanaye kaziota SMS zenu, hizo laana zakujitakia na mkeo atakuja kuliwa na Mme wa mwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…