Nataka kuvunja ndoa yangu na ndoa ya baba mkwe, naomba ushauri wako kabla janga halijatokea

Jamii foram,kila mtu amesoma,kila mtu anakazi nzuri na mke mzuri na yeye handsam,kila mtu anapesa na nyumba na gari..kila mtu anavitia na anatakwa yeye.kiufupi watu waongo sana sana
 
Mungu anisamehe,Lakini kiukweli wakwe ndo wavunja ndoa za watoto wao.
 
Uliwaza vizuri mwishoni ukaharibu fala kweli wewe

Na WAMAMA wa siku hizi hawajitambui na halipokutana na wewe usiyejielewa ndo akili zenu zikaendana

Stupid all of you, shame
 
Hawezi kumwambia mtu yeyote kuwa ulimtaka, kwani yeye hana akili? Huo ni mkwara tu, nakushauri anza kuvunja ukaribu nae, na zaidi ya yote mblock katika simu kwa namna zote yaani calls, sms, na mitandao ya kijamii. USITHUBUTU KULALA NA MAMA MKWE WAKO ETI ILI UWE SALAMA, DHAMBI NI DHAMBI TU, siku zote kuwa sahihi ktk maisha, kaa upande ulio sahihi. Usitegemee jambo hilo ndilo litakufanya salama
Usitumie nguvu nyingi mkuu
Hii ni chai maharage mzee
 
Habari za kazi wanajamvi! Ninawasalimu kwa jina la JF....!

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, namshukuru Mola nimejaliwa mke mzuri na mtoto mmoja. Pia Mola amenijalia kazi nzuri ambayo inanipatia kipato kizuri tu...Kwa kifupi, pesa kwangu siyo tatizo sana.

Pia nina mahusiano mazuri tu na ndugu zangu wa pande zote (upande wa wazazi wangu na upande wa wakwe zangu). Namshukuru Mola pia wazazi na wakwe zangu pia wamejaliwa kipato (wanajiweza...siyo tegemezi), hivyo wametupunguzia mimi na mke wangu mzigo wa gharama (kuwahudumia).

Nimetokea kuwa na mahusiano ya karibu sana na MAMA MKWE wangu, alinikubali sana tokea nilipomchumbia binti yake. Na baada ya kuishi na binti yake kwa muda kwenye ndoa yetu, mama mkwe alizidisha kunikubali na kunipenda zaidi (kwa kifupi mke wangu huwa nampenda na kumjali sana... I'm a caring & responsible husband). Mama mkwe amekuwa akinisifu mara kadhaa kwa namna ninavyoijali familia yangu, na ninavyomjali yeye pia.

Kwa kipindi cha miezi michache iliyopita, tumetokea kuzoeana sana na mama mkwe wangu, na ukaribu baina yetu umezidi kupita maelezo. Imefika hatua frequency ya mawasiliano kati yangu na mama mkwe imezidi hata ile ya mke wangu. Na hapa ndio mwanzo wa changamoto yangu hii, ambayo imenifanya nije kuomba ushauri wenu.

Kutoka na huu ukaribu uliopo baina yetu, imefika hatua mimi na mama mkwe ni kama washikaji tu! Utani baina yetu ni sehemu ya maisha. Huwa hachoki kunisifia, mara utamsikia akinisifu "U r a real gentle man, handsome and caring daddy..binti yangu anaenjoy kuwa na wewe...huwa ananiambia!" "I love you my handsome baby...! Haya ni baadhi ya maneno ambayo mama mkwe amekuwa akiniambia...akinimwagia sifa! Zaidi ya yote, ma emoji yenye makopakopa kwenye chats anazonitumia ni kama yote!

Na mimi huwa najibu mapigo kwa kumsifia pia "Mom nakushukuru kwa kunizalia binti mrembo...mke wangu, Mola amekujalia umefyatua chuma kikali kama wewe mwenyewe vile/photocopy yako...! Akacheka kidogo na kunijibu "Thubuti! Kwangu haingii hata nusu...unanionaje my handsome baby?...Urembo alionao mke wako ni robo tu ya urembo wa mimi mama yake, hata nusu hajanifikia!" Ni kweli mama mkwe wangu ni mrembo ana umri wa miaka 52 sasa lakini ukimuona utafikiri ni binti wa miaka 22. Hakika baba mkwe anafaidi jamani!! Kwa kifupi mama mkwe amefanikiwa kuniingiza mtegoni...nimetegeka sina ujanja. Naona shetani amenikaba na roba ya mbao yenye misumari, nimesurrender!

Mama mkwe anataka tupige show! Natamani kupiga naye show ila nikiangalia kitakachofuata baada ya show, ni mlipuko wa bomu kubwa zaidi ya bomu la atomic, ambalo litaangamiza na watu wasiohusika! Naogopa siku nikija kupiga show ipo siku hii ishu itabackfire! Huwa najiuliza maswali yafuatayo:

1. Je, mke wangu akija kugundua nimekula yai (mke wangu)kisha kumchinja na kumla kuku aliyetaga yai (Mama yake mzazi). Tena bora angekuwa mama wa kambo ishu ingekuwa nyepesi kidogo! Bila shaka ndoa yangu itavunjika na mke wangu anaweza hata kujitia kitanzi. Nikiwaza hivyo huwa naogopa sana kupiga show na mama mkwe wangu!

2. Je, baba mkwe wangu akija kugundua kuwa nimemla mke wake (Mama mkwe wangu, atajisikiaje? Bila shaka ndoa yake itavunjika anaweza ama akijipiga risasi au akanipoteza mimi au akaondoka na mimi peponi!

3. Je, shemeji zangu na ndugu wa baba mkwe na mama mkwe wangu watajisikiaje siku wakisikia nimemtafuna mama mkwe wangu? Bila shaka watanichukia na kunifanyia kitu kibaya!

4. Je, ndugu zangu (hasa wazazi wangu) watajisikiaje wakijakusikia kuwa mimi nimemgegeda mama mkwe wangu? Bila shaka wataniona mimi ni shetani! Watanitenga!

5. Je, kazini kwangu wakisikia hii habari watanionaje?

6. Je, jamii inayonizunguka ikijakusikia kuwa nimemgonga mama mkwe wangu, itanionaje? Sura yangu nitaificha wapi?

Nikijiuliza maswali hayo na mengine mengi huwa nakosa kabisa hamu ya mbususu. Inafika hatua natamani ningekuwa padri ili nisingekuwa nakula mbususu kabisa.

Kwa kifupi, mama mkwe anataka nimtafune. Nimejaribu kumuuliza maswali hayo hapo juu na mengine mengi lakini hataki kunielewa! Anasema tutafanya kwa kificho sana hakuna mtu atakayejua. Hilo kwangu najua haliwezekani...mapenzi ni kikohozi...za mwizi arobaini! Ipo siku hii ishu itabackfire tu.

Nimejaribu kuchomoka ili niachane naye ili tufike anakotaka twende, amenipiga mkwara mkali sana.

Amesema nikikataa atanigeuzia kibao kwamba ninamtaka kimapenzi, atamwabia mke wangu na baba mkwe wangu kuwa nimemkosea heshima! Chat zangu za mahaba tunazochat naye anasema amezihifadhi, ni kunithibitishia hilo chat zingine za miezi ya nyuma ameniforwadia, ili kuthibitisha kuwa hatanii! Hili nalo nimenipa mtihani na kunifanya nijiulize:

1. Je, nikigoma kumla na akanitangaza kwamba ninamtaka kimapenzi, si aibu itabaki palepale...Na mke wangu akisikia hivyo ndoa si itavunjika?

2. Baba mkwe akisikia ninataka kumzunguka si atanipoteza kabisa?

3. Ndugu zangu na jamii nzima wakisikia hivyo si wataniona mimi shetani tu?

Kwa kifupi, baada ya kuwaza na kuwazua juu ya hili jambo nimeamua kupiga show na mama mkwe. Kwa sababu nikigoma kupiga show, mama mkwe ataniharibia, ndoa yangu itavunjika, ndugu zangu na jamii nzima itanidharau, na naweza kuishia kujimaliza mwisho wa siku! Nimeamua bora nimtafune mama mkwe wangu ili hata nikija kupata adhabu iwe halali yangu, kuliko nikatae kumtafuna bado nije niadhibiwe na kufedheheshwa bila kosa!

Ushauri wako ni wa mhimu sana mwana JF, maana bomu lililotegwa naona litakuwa balaa...litaua na wasiohusika! Amani itawale!
Kapige show mbovu siku ingine asikutake.!
Au anza kutompendeza na kumpotezea au kubuy time. Mpaka yeye ndio akuchoke.
 
Huyo mkwe kazidi hadi anataka kula chakula cha mwanae
 
Kuna mtu kasema huyu ni mtu mzima. Hey!! Big no.
Huyu ni kijana. Ndio yupo na 30.
Hawezi kuelewa maisha na heshima katikati maisha kiufupi hajavuka bado..
wewe piga tu mama mkwe wako.
Tazama hapa alisema ana 40+
mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kuzungumza ujinga huu wa mleta mada.
 
Attachments

  • Screenshot_2022-07-16-10-09-02-401_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2022-07-16-10-09-02-401_com.android.chrome.jpg
    93.8 KB · Views: 15
  • Screenshot_2022-07-16-10-08-48-883_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2022-07-16-10-08-48-883_com.android.chrome.jpg
    89.1 KB · Views: 16
Huyo mama ni mtafiti,wewe mpe hicho anachotaka kutafiti kwa masharti kuwa msirudie tena.
 
Kama hiki kisa ni cha kweli na kama wewe ni Muislam, nakunasihi na kukukumbusha kuwa Mama mkwe ni Mahram kwako. Tena anakuwa Mahram kwako milele. Ukimuoa tu Mwanamke, Mama yake huyo Mwanamke ni Mahram wako milele (ameharamishwa kwako wewe kumuoa milele). Sasa wewe unataka kuzini na Mahram wako
Jambo zito hilo.

Halafu pia utaharibu na kuvunja familia za watu wa karibu mno ikiwemo kuharibu uhusiano kati ya Mama na Mtoto wake. Utaweza kuubeba huu mzigo?

Ulishakosea pale ulipokosa adabu kwa Mama mkwe, hivyo ukaingia mtego, sasa unapoelekea ni kubaya zaidi kama usiporudi nyuma na kuachana na hilo.

Kama wewe ni Muislam, hizo ndizo nasaha zangu kwako.

Yangu ni hayo tu.
Swadakta
 
Kwani wale waliokua wanasema bora nusu Shari kuliko shari kamili unadhani walikua wana maanisha nini ndugu mleta mada?
 
Habari za kazi wanajamvi! Ninawasalimu kwa jina la JF....!

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, namshukuru Mola nimejaliwa mke mzuri na mtoto mmoja. Pia Mola amenijalia kazi nzuri ambayo inanipatia kipato kizuri tu...Kwa kifupi, pesa kwangu siyo tatizo sana.

Pia nina mahusiano mazuri tu na ndugu zangu wa pande zote (upande wa wazazi wangu na upande wa wakwe zangu). Namshukuru Mola pia wazazi na wakwe zangu pia wamejaliwa kipato (wanajiweza...siyo tegemezi), hivyo wametupunguzia mimi na mke wangu mzigo wa gharama (kuwahudumia).

Nimetokea kuwa na mahusiano ya karibu sana na MAMA MKWE wangu, alinikubali sana tokea nilipomchumbia binti yake. Na baada ya kuishi na binti yake kwa muda kwenye ndoa yetu, mama mkwe alizidisha kunikubali na kunipenda zaidi (kwa kifupi mke wangu huwa nampenda na kumjali sana... I'm a caring & responsible husband). Mama mkwe amekuwa akinisifu mara kadhaa kwa namna ninavyoijali familia yangu, na ninavyomjali yeye pia.

Kwa kipindi cha miezi michache iliyopita, tumetokea kuzoeana sana na mama mkwe wangu, na ukaribu baina yetu umezidi kupita maelezo. Imefika hatua frequency ya mawasiliano kati yangu na mama mkwe imezidi hata ile ya mke wangu. Na hapa ndio mwanzo wa changamoto yangu hii, ambayo imenifanya nije kuomba ushauri wenu.

Kutoka na huu ukaribu uliopo baina yetu, imefika hatua mimi na mama mkwe ni kama washikaji tu! Utani baina yetu ni sehemu ya maisha. Huwa hachoki kunisifia, mara utamsikia akinisifu "U r a real gentle man, handsome and caring daddy..binti yangu anaenjoy kuwa na wewe...huwa ananiambia!" "I love you my handsome baby...! Haya ni baadhi ya maneno ambayo mama mkwe amekuwa akiniambia...akinimwagia sifa! Zaidi ya yote, ma emoji yenye makopakopa kwenye chats anazonitumia ni kama yote!

Na mimi huwa najibu mapigo kwa kumsifia pia "Mom nakushukuru kwa kunizalia binti mrembo...mke wangu, Mola amekujalia umefyatua chuma kikali kama wewe mwenyewe vile/photocopy yako...! Akacheka kidogo na kunijibu "Thubuti! Kwangu haingii hata nusu...unanionaje my handsome baby?...Urembo alionao mke wako ni robo tu ya urembo wa mimi mama yake, hata nusu hajanifikia!" Ni kweli mama mkwe wangu ni mrembo ana umri wa miaka 52 sasa lakini ukimuona utafikiri ni binti wa miaka 22. Hakika baba mkwe anafaidi jamani!! Kwa kifupi mama mkwe amefanikiwa kuniingiza mtegoni...nimetegeka sina ujanja. Naona shetani amenikaba na roba ya mbao yenye misumari, nimesurrender!

Mama mkwe anataka tupige show! Natamani kupiga naye show ila nikiangalia kitakachofuata baada ya show, ni mlipuko wa bomu kubwa zaidi ya bomu la atomic, ambalo litaangamiza na watu wasiohusika! Naogopa siku nikija kupiga show ipo siku hii ishu itabackfire! Huwa najiuliza maswali yafuatayo:

1. Je, mke wangu akija kugundua nimekula yai (mke wangu)kisha kumchinja na kumla kuku aliyetaga yai (Mama yake mzazi). Tena bora angekuwa mama wa kambo ishu ingekuwa nyepesi kidogo! Bila shaka ndoa yangu itavunjika na mke wangu anaweza hata kujitia kitanzi. Nikiwaza hivyo huwa naogopa sana kupiga show na mama mkwe wangu!

2. Je, baba mkwe wangu akija kugundua kuwa nimemla mke wake (Mama mkwe wangu, atajisikiaje? Bila shaka ndoa yake itavunjika anaweza ama akijipiga risasi au akanipoteza mimi au akaondoka na mimi peponi!

3. Je, shemeji zangu na ndugu wa baba mkwe na mama mkwe wangu watajisikiaje siku wakisikia nimemtafuna mama mkwe wangu? Bila shaka watanichukia na kunifanyia kitu kibaya!

4. Je, ndugu zangu (hasa wazazi wangu) watajisikiaje wakijakusikia kuwa mimi nimemgegeda mama mkwe wangu? Bila shaka wataniona mimi ni shetani! Watanitenga!

5. Je, kazini kwangu wakisikia hii habari watanionaje?

6. Je, jamii inayonizunguka ikijakusikia kuwa nimemgonga mama mkwe wangu, itanionaje? Sura yangu nitaificha wapi?

Nikijiuliza maswali hayo na mengine mengi huwa nakosa kabisa hamu ya mbususu. Inafika hatua natamani ningekuwa padri ili nisingekuwa nakula mbususu kabisa.

Kwa kifupi, mama mkwe anataka nimtafune. Nimejaribu kumuuliza maswali hayo hapo juu na mengine mengi lakini hataki kunielewa! Anasema tutafanya kwa kificho sana hakuna mtu atakayejua. Hilo kwangu najua haliwezekani...mapenzi ni kikohozi...za mwizi arobaini! Ipo siku hii ishu itabackfire tu.

Nimejaribu kuchomoka ili niachane naye ili tufike anakotaka twende, amenipiga mkwara mkali sana.

Amesema nikikataa atanigeuzia kibao kwamba ninamtaka kimapenzi, atamwabia mke wangu na baba mkwe wangu kuwa nimemkosea heshima! Chat zangu za mahaba tunazochat naye anasema amezihifadhi, ni kunithibitishia hilo chat zingine za miezi ya nyuma ameniforwadia, ili kuthibitisha kuwa hatanii! Hili nalo nimenipa mtihani na kunifanya nijiulize:

1. Je, nikigoma kumla na akanitangaza kwamba ninamtaka kimapenzi, si aibu itabaki palepale...Na mke wangu akisikia hivyo ndoa si itavunjika?

2. Baba mkwe akisikia ninataka kumzunguka si atanipoteza kabisa?

3. Ndugu zangu na jamii nzima wakisikia hivyo si wataniona mimi shetani tu?

Kwa kifupi, baada ya kuwaza na kuwazua juu ya hili jambo nimeamua kupiga show na mama mkwe. Kwa sababu nikigoma kupiga show, mama mkwe ataniharibia, ndoa yangu itavunjika, ndugu zangu na jamii nzima itanidharau, na naweza kuishia kujimaliza mwisho wa siku! Nimeamua bora nimtafune mama mkwe wangu ili hata nikija kupata adhabu iwe halali yangu, kuliko nikatae kumtafuna bado nije niadhibiwe na kufedheheshwa bila kosa!

Ushauri wako ni wa mhimu sana mwana JF, maana bomu lililotegwa naona litakuwa balaa...litaua na wasiohusika! Amani itawale!
Kula mbususu ya mama mkwe hafu kausha
 
Kutembea na mama wa mkeo ni sawa na kutembea na mama yako mzazi maana umekuwa mwili mmoja a mkeo, so mama yake ni mama yako.

Acha kabisa hayo mawazo, laana hiyo.
 
Najua ukishakula hata mara moja hutoacha itakuwa endelevu na hapo ndipo utakuja kamatika na kuharibu kabisa furaha ya maisha yako.
 
Kumbukumbu la Torati 27:23
Na alaaniwe alalaye na mkwewe, mamaye mkewe. Na watu wote waseme, Amina.

Utapata fesheha isiyo na mfano na kuvunjiwa heshima na kila mtu,utakufa kifo kibaya wewe jifariji tu.Kama ni kweli basi huna akili kabisa,nenda kwa viongozi wa dini yako ukaombee yamkini una pepo.
 
Kama ushaamua kumtafuna ushauri unautaka wa nini...
 
Tunashida Vijana, mtu anaiba stori analeta hapa. Kijana anachukua picha kwenye group la WhatsApp analeta huku na stori.
 
Back
Top Bottom