Nataka kuvunja ndoa yangu na ndoa ya baba mkwe, naomba ushauri wako kabla janga halijatokea



Hii ni tamthilia zaidi kuliko ukweli lakini Mwanaume mvumilivu ndiyo mwanaume wa kweli sio wale wanaotembea tembea na kila mtu huu ulikuwa ushamba!. Kwani kutakwa ni dhambi ni kitu cha kawaida. Ukiachana na mke ndiyo yatakuwa maisha yako kwa miaka yote drama kama hizi hazitakuisha mpaka miaka 70.
 
Halafu unapata wapi muda wa kuchart na mkweo? Kwahiyo wewe ukiwa kazini busy kuchart na mkweo! Kata mawasiliano, hivi mkeo na Baba Mkwe wakulijua hilo familia itasambaratika utakufa mapema.
 
Koo mbili zenye laana zimekutana.

Wewe umetoka huko na laana za kwenu za kutamani hadi mzazi wa mke wako

Mkwe wako nae ana laana ya kutamani mume wa mwanao

Kifupi nyie mnataka kuendeleza kizazi cha LAANA

Na watoto wako ndo kabisaaa watakuja kumgonga mkeo sasa wewe chukulia masihara hivyo hivyo na tamaa zako za kijinga hizo

Kwanza mwanamke wa miaka 52 mwenye menopause yake,wewe wa nini ???
 
Katika maisha yako ya umalaya, jitahidi sana kuwaepuka wanawake wafuatao;
1. Ndugu yoyote wa karibu kwa mkeo
2. Wafanyakazi wa ndani
3. Majirani
4. Marafiki za mkeo.

Wewe unaweza kuji control na ukatunza siri. Ila wanawake hua wana akili za ajabu sana lazima atafanya kitu kwa makusudi au kwa bahati mbaya ambacho kitapelekewa siri kufichuka.
 
Acha kabisaaaa..!!! Tena ili ufanikiwe hama maeneo hayo na acha kwenda maeneo ambayo unaweza ukakutana na mama mkwe wako mkiwa wenyewe
 
Kuna mambo huwa yanatia Sana upana wa akili ya MTU hapa kama unataka kusovu tatizo punguza ukaribu nae akituma SMS usijibu jibu zilizo na umuhimu na ukitaka kuongea nae ongea nae kupitia simu ya mtoto wake

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
 
Hivi madingi wanaokula mabinti zao wa kuwazaa inakuwaje si x200 afadhali ya hata anayemla mama mkwe!?
 
Hivi madingi wanaokula mabinti zao wa kuwazaa inakuwaje si x200 afadhali ya hata anayemla mama mkwe!?
Mkuu mbona unataka ku justify kosa lako kwa kutumia makosa ya watu wengine? Au umeshamtafuna ma mkwe nini??🤣🤣

We jamaa bana..!😄
 
Hii ni laana ya wazi wazi kabisa acha iyo kitu unayotaka kufanya
 
Inaonekana tamaa yako ni kumtafuna hutaki akupite.

Ukimkatalia hatafanya chochote na mbinu za kuepuka kufanya hilo jambo bila madhara yoyote ni nyingi mnoo, wewe si wa kwanza kutakwa na mama mkwe
 
Toa suluhisho mkuu, mimi mwenyewe nalitambua hilo, ila hali halisi ndio hiyo.
Mwambie akisema umemtongoza na ww unaonyesha chat zake kuonyesha alikuwa line na anataka show
 
Mimi huwa situnzi meseji za aina hiyo kwenye simu mkuu....huwa nadelete haraka sana. Punguza matusi haya ni maisha tu.
Kazi rahisi sana hiyo. Kila akikupigia, uwe unamrekodi. Hakikisha kwenye maongezi yenu unamsisitizia kwamba huwezi kumla
 
Hawezi kumwambia mtu yeyote kuwa ulimtaka, kwani yeye hana akili? Huo ni mkwara tu, nakushauri anza kuvunja ukaribu nae, na zaidi ya yote mblock katika simu kwa namna zote yaani calls, sms, na mitandao ya kijamii. USITHUBUTU KULALA NA MAMA MKWE WAKO ETI ILI UWE SALAMA, DHAMBI NI DHAMBI TU, siku zote kuwa sahihi ktk maisha, kaa upande ulio sahihi. Usitegemee jambo hilo ndilo litakufanya salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…