Nataka kuvunja ndoa yangu na ndoa ya baba mkwe, naomba ushauri wako kabla janga halijatokea

Jamii foram,kila mtu amesoma,kila mtu anakazi nzuri na mke mzuri na yeye handsam,kila mtu anapesa na nyumba na gari..kila mtu anavitia na anatakwa yeye.kiufupi watu waongo sana sana
 
Mungu anisamehe,Lakini kiukweli wakwe ndo wavunja ndoa za watoto wao.
 
Uliwaza vizuri mwishoni ukaharibu fala kweli wewe

Na WAMAMA wa siku hizi hawajitambui na halipokutana na wewe usiyejielewa ndo akili zenu zikaendana

Stupid all of you, shame
 
Usitumie nguvu nyingi mkuu
Hii ni chai maharage mzee
 
Kapige show mbovu siku ingine asikutake.!
Au anza kutompendeza na kumpotezea au kubuy time. Mpaka yeye ndio akuchoke.
 
Huyo mkwe kazidi hadi anataka kula chakula cha mwanae
 
Kuna mtu kasema huyu ni mtu mzima. Hey!! Big no.
Huyu ni kijana. Ndio yupo na 30.
Hawezi kuelewa maisha na heshima katikati maisha kiufupi hajavuka bado..
wewe piga tu mama mkwe wako.
Tazama hapa alisema ana 40+
mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kuzungumza ujinga huu wa mleta mada.
 

Attachments

  • Screenshot_2022-07-16-10-09-02-401_com.android.chrome.jpg
    93.8 KB · Views: 15
  • Screenshot_2022-07-16-10-08-48-883_com.android.chrome.jpg
    89.1 KB · Views: 16
Huyo mama ni mtafiti,wewe mpe hicho anachotaka kutafiti kwa masharti kuwa msirudie tena.
 
Swadakta
 
Kwani wale waliokua wanasema bora nusu Shari kuliko shari kamili unadhani walikua wana maanisha nini ndugu mleta mada?
 
Kula mbususu ya mama mkwe hafu kausha
 
Kutembea na mama wa mkeo ni sawa na kutembea na mama yako mzazi maana umekuwa mwili mmoja a mkeo, so mama yake ni mama yako.

Acha kabisa hayo mawazo, laana hiyo.
 
Najua ukishakula hata mara moja hutoacha itakuwa endelevu na hapo ndipo utakuja kamatika na kuharibu kabisa furaha ya maisha yako.
 
Kumbukumbu la Torati 27:23
Na alaaniwe alalaye na mkwewe, mamaye mkewe. Na watu wote waseme, Amina.

Utapata fesheha isiyo na mfano na kuvunjiwa heshima na kila mtu,utakufa kifo kibaya wewe jifariji tu.Kama ni kweli basi huna akili kabisa,nenda kwa viongozi wa dini yako ukaombee yamkini una pepo.
 
Kama ushaamua kumtafuna ushauri unautaka wa nini...
 
Tunashida Vijana, mtu anaiba stori analeta hapa. Kijana anachukua picha kwenye group la WhatsApp analeta huku na stori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…