Nataka kuvunja ndoa yangu na ndoa ya baba mkwe, naomba ushauri wako kabla janga halijatokea

Hivi madingi wanaokula mabinti zao wa kuwazaa inakuwaje si x200 afadhali ya hata anayemla mama mkwe!?
Wee mtafune tu

Everyone has a secret [emoji457][emoji28][emoji28][emoji28]

Ni vile tu watu Hawa wezi kusema yaliyo jificha vifuani mwao ,, mle kaka mle [emoji16]
 
Kutembea na mama wa mkeo ni sawa na kutembea na mama yako mzazi maana umekuwa mwili mmoja a mkeo, so mama yake ni mama yako.

Acha kabisa hayo mawazo, laana hiyo.
Acha wabadilishane na mkewe akatembee na Baba yake huyo mmewe
 
Na mama mkwe akijagundua una kibamia na ndicho unapeleka kila siku kwa binti yake itakuweje?
 
We ni mpuuzi sana huyo mama ni sawa na mama yako mzazi halafu kwanini uwe na mazoea na mama mkwe hadi ufikie hatua hiyo.
 
Muwahi mapema kabla yeye hajakuwahi,usijali kama atakuchukia,mwambie mkeo.Mwambie the whole story na kwamba amuonye.Usijaribu kabisa kutembea na mkweo,unajitafutia laana maishani,hata kama siri isipovuja.Ni heri mkeo asielewane na mama yake lakini u-mantain your intergrity.
 
Ulipo sema tu huwa unachat na na Mama mkwe nikajua uko na funza kwa ubongo wako!

Kama ungekuwa mzima kichwani unge block namba ya huyo mama siku nyingi ila umekuja hapa kulialia kisanii ila ki ukweli upo empty kichwani.
 
Ulipo sema tu huwa unachat na na Mama mkwe nikajua uko na funza kwa ubongo wako!

Kama ungekuwa mzima kichwani unge block namba ya huyo mama siku nyingi ila umekuja hapa kulialia kisanii ila ki ukweli upo empty kichwani.
Ni mpuuzi sana huyo huo muda wa kuchart na kuwasiliana sana na mama mkwe anautolea wapi
 
Kifupi tafuta mtu ambaye licha ya wewe kuwa hutaki mambo yajulikane, tafuta ambaye na yeyey ana sababu nyingine (out of you) ambayo inamfanya asitake mambo yajulikane.. eg. Mlokole etc. Siyo mtu unakuwa na kimwanafunzi ambach kinataka wenzie wajue kuwa ana bwana mwenye RAV4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…