kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Nimewapata wadau, lakini ndani ya mwaka mmoja nimekuwa mfanyakazi bora wa kanda, naamini ipo siku nitakuwa afisa elimu
Hapa hujasema kweli! huo utaratibu wa mfanyakaz bora kikanda ulifanyikaje? kanda ipi? kuwa wazi