Nataka kuwa Afisa Elimu Sekondari

Nimewapata wadau, lakini ndani ya mwaka mmoja nimekuwa mfanyakazi bora wa kanda, naamini ipo siku nitakuwa afisa elimu

Hapa hujasema kweli! huo utaratibu wa mfanyakaz bora kikanda ulifanyikaje? kanda ipi? kuwa wazi
 
Hao ndo walimu wetu wanaofundisha wakiwaza vyeo kwanini mwakani zero zisiwe 90%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…