Nataka kuwa maarufu

Nataka kuwa maarufu

Usha kuwa maarufu si wengi tunajadili mada yako
Nimeshasema sitaki umarufu wa mda mfupi wa kubenea wa kuwashika shanga wanawake nataka umarufu wa mda mrefu hadi ikulu inijue kuwa nami ni mtata watu waniangalie kwenye taarifa ya saa mbili na sanne kwa siku mbili mfululizo
 
Kwani we umejipangeje kwa hilo?
 
Hzo bangi ulizovuta zinakupeleka pabaya sana...tafuta FEDHA
 
Habali wakuu mimi ni kijana wa miaka 25 sina mke wala mtoto lakin natafuta umarufu kwa hali na mali sasa nifanyeje ili niwe maarufu lakin sitak umarufu wa mda mfupi kama wa saed kubenea nataka umarufu wa mda mrefu kama wa lowasa na kikwete sasa nifanyeje ili niwe maarufu au nimutukane mtukufu na nijilekod afu nitupie mtandaon lakin naogopa sina milion saba naomben ushauri wenu nifanyeje ili niwe maarufu yaan nataka kila mtu anijue mitandao yote iniandike niwe news kwenye hii nchi ya nyerere nifanyeje wadau au nimutukane samia
Kampige kibao mtakatifu...
 
Kazuie msafara wa rais barabarani yaani unakaa katikati ya barabara ili msafara usipite
 
Wewe hata usiteseke.
Vua nguo tembea uchi.
Utakuwa maarufu hadi utajuta
 
Mtafute dogo mmoja anaitwa james delicious.anafaham njia nzuri ya kupata umaharufu
 
tafuta wakukufumua marinda hadharani kisha rusha katika mitandao ya kijamii, au mpelekee zamaradi mketema, usipokuwa maarufu jipigee risasi
 
Habali wakuu mimi ni kijana wa miaka 25 sina mke wala mtoto lakin natafuta umarufu kwa hali na mali sasa nifanyeje ili niwe maarufu lakin sitak umarufu wa mda mfupi kama wa saed kubenea nataka umarufu wa mda mrefu kama wa lowasa na kikwete sasa nifanyeje ili niwe maarufu au nimutukane mtukufu na nijilekod afu nitupie mtandaon lakin naogopa sina milion saba naomben ushauri wenu nifanyeje ili niwe maarufu yaan nataka kila mtu anijue mitandao yote iniandike niwe news kwenye hii nchi ya nyerere nifanyeje wadau au nimutukane samia
Gawa Tigo.alafu useme umelawitiwa
 
Back
Top Bottom