Nimeshasema sitaki umarufu wa mda mfupi wa kubenea wa kuwashika shanga wanawake nataka umarufu wa mda mrefu hadi ikulu inijue kuwa nami ni mtata watu waniangalie kwenye taarifa ya saa mbili na sanne kwa siku mbili mfululizoUsha kuwa maarufu si wengi tunajadili mada yako
Kwani we umejipangeje kwa hilo?Nimeshasema sitaki umarufu wa mda mfupi wa kubenea wa kuwashika shanga wanawake nataka umarufu wa mda mrefu hadi ikulu inijue kuwa nami ni mtata watu waniangalie kwenye taarifa ya saa mbili na sanne kwa siku mbili mfululizo
Anzia ulipo ona panafaa kuanziaMimi nimejipanga kwa vyovyote vile hapa natafute nitoke vp
Kampige kibao mtakatifu...Habali wakuu mimi ni kijana wa miaka 25 sina mke wala mtoto lakin natafuta umarufu kwa hali na mali sasa nifanyeje ili niwe maarufu lakin sitak umarufu wa mda mfupi kama wa saed kubenea nataka umarufu wa mda mrefu kama wa lowasa na kikwete sasa nifanyeje ili niwe maarufu au nimutukane mtukufu na nijilekod afu nitupie mtandaon lakin naogopa sina milion saba naomben ushauri wenu nifanyeje ili niwe maarufu yaan nataka kila mtu anijue mitandao yote iniandike niwe news kwenye hii nchi ya nyerere nifanyeje wadau au nimutukane samia
Peleka dawa za kulevya chinawale wapo tu jamaa wa msoga hajaondoka nao
Gawa Tigo.alafu useme umelawitiwaHabali wakuu mimi ni kijana wa miaka 25 sina mke wala mtoto lakin natafuta umarufu kwa hali na mali sasa nifanyeje ili niwe maarufu lakin sitak umarufu wa mda mfupi kama wa saed kubenea nataka umarufu wa mda mrefu kama wa lowasa na kikwete sasa nifanyeje ili niwe maarufu au nimutukane mtukufu na nijilekod afu nitupie mtandaon lakin naogopa sina milion saba naomben ushauri wenu nifanyeje ili niwe maarufu yaan nataka kila mtu anijue mitandao yote iniandike niwe news kwenye hii nchi ya nyerere nifanyeje wadau au nimutukane samia