Nataka kuwa maarufu

Ota jua usiku...... Yan itaandikwa hadi kwenye vitabu.
 
Kunya barabarani mchana kweupe
 
Umaarufu unaotaka ww.. hauji hiv hiv. Fanya kazi kwa bidii... pata pesa
 
Kuna mwenzio anatembeaga kwa kunata barabarani.... Sasa wewe vua nguo utembee uchi kila siku jion.
 
Njia ziko nyingi lakini kwanza mtaji wa umaarufu elimu elimu elimu
 
Soma kwa bidii uwe Tanzania one vyombo vya habari vitakutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…