Nataka kuwa machinga wa kike ushauri

Dah.... Mwanaume ni machinga...na mwanamke ni machinge...[emoji41]
 
Angalau wewe nimekuelewa vyema. Anza na hii mishe vinginevyo wewe ndo utakuwa bidhaa.
Hahahahahahaha!Eti atakuwa bidhaa!Mwaya mdogo wetu fanya hii biashara itakutoa sana,jidamke asubuhi na mapema kama mkuu alivyoshauri ukafate hizo bidhaa huko ulipoelekezwa kisa uanze kazi!Hata mchicha ulianza kama mbuyu,eehe sorry,hata mbuyu ulianza kama mchicha!Tanguliza na sala pia,bila nguvu za mungu mwenyewe hutoweza!
Ila mkuu umenichekesha,eti vinginevyo wewe ndo utakuwa bidhaa,hahahπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…