Nataka kuwa machinga wa kike ushauri

Nataka kuwa machinga wa kike ushauri

8e120eb8763716f837babf113a204907.jpg
Ni kweli lakini hapa inahusokaje nyamhene..!
 
Dah.... Mwanaume ni machinga...na mwanamke ni machinge...[emoji41]
 
Angalau wewe nimekuelewa vyema. Anza na hii mishe vinginevyo wewe ndo utakuwa bidhaa.
Hahahahahahaha!Eti atakuwa bidhaa!Mwaya mdogo wetu fanya hii biashara itakutoa sana,jidamke asubuhi na mapema kama mkuu alivyoshauri ukafate hizo bidhaa huko ulipoelekezwa kisa uanze kazi!Hata mchicha ulianza kama mbuyu,eehe sorry,hata mbuyu ulianza kama mchicha!Tanguliza na sala pia,bila nguvu za mungu mwenyewe hutoweza!
Ila mkuu umenichekesha,eti vinginevyo wewe ndo utakuwa bidhaa,hahah😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom