SODIUM CYANIDE
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 691
- 1,166
Wakeleketwa utawajua tu hawana la ziada!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakeleketwa utawajua tu hawana la ziada!
Sio kwa mtaji wa elfu 20 mkuu. Angalau angekuwa na 200kTembeza vivalio
Au accecories
Tembeza michezo ya watoto
Tembeza visandles vya kike
Tembeza nguo za ndani za wanaume kwa wanawake na watoto
Tembeza samaki waliokaangwa
Tembeza nguo za watoto za mtumba
Vingine nimesahau.
Hizo chupa tu za kuuzia uji zinazidi elfu 20. Bado vikombe na unga wa uji na viungo vyake.Uza uji wa mchele na uji wa ulezi. Ukipata chupa Zako Mbili Kubwa jion unauzungusha. Unalipa
Umekariri maisha.Sio kwa mtaji wa elfu 20 mkuu. Angalau angekuwa na 200k
Angalau wewe nimekuelewa vyema. Anza na hii mishe vinginevyo wewe ndo utakuwa bidhaa.Kama una ujasiri pia amka asubuhi nenda ilala
Chukua nyanya,vitunguu
Dagaa,
Nyanya chungu
Bamia
Karoti
Limao/ndimu
Pita mitaani mpaka saa sita umefunga hesabu
Hiyo hela haitoshi hata supu ya kongoro asubuhi, usimdanganye atasota miaka nenda rudi na manufaa hatoyaona ya biashara.Umekariri maisha.
Elfu 20[emoji54]Habarini wajasiliamali
Mimi ni mwanamke wa miaka 29 nataka nianze biashara ya umachinga naombeni ushauri biashara gani inatoka sana huko mitaani hasa maeneo ya mjini kama kariakoo kwa mtaji wa elf 20
Mimi niko mkoani Arusha
Chupa hata za nyumban anaazia na vikombeHizo chupa tu za kuuzia uji zinazidi elfu 20. Bado vikombe na unga wa uji na viungo vyake.
Nimekusoma mkuu. Shikamoo 20000. Naona watanzania sasa tuna nidhamu na pesa.Chupa hata za nyumban anaazia na vikombe
Hapo mchele nusu na robo. 2000
Unga wa ulezi au walishe (Ikibidi atengeneze Mwenyewe) kilo Mbili Hauzidi 10000 mazagazaga yote mpaka kusaga
Sukari kilo 2200
Maziwa Lita huko moshi yamejaa Kibao
Imebaki 5400 ataangalia hii anunue vikombe vya 500 , vya kuazia Inayobak anaweka.
20000 Pesa nyingi kwa hizi biashara ndogo ndogo
Nimekusoma mkuu. Shikamoo 20000. Naona watanzania sasa tuna nidhamu na pesa.
Mkuu usiachie spana endelea kukaza vyuma vilivyolegea.
Ila una aidia sana kwenye swala la biashara. Nimekupenda bure mkuu.Hahaaaaaaa wanyonge hizi Ndio biashara zetu tangu Enzi za mzee kipara huko tushazoea kusulubika waliozoea mteremko 20000 kwake ni Pesa ya soda Sasa Ndio wanahaha
Rais mmoja wa nchi za africa mashariki aliwahi kuwambia wanawake "utajiri mnao mmeukalia," uliielewa kauli hiyo?Habarini wajasiliamali
Mimi ni mwanamke wa miaka 29 nataka nianze biashara ya umachinga naombeni ushauri biashara gani inatoka sana huko mitaani hasa maeneo ya mjini kama kariakoo kwa mtaji wa elf 20
Mimi niko mkoani Arusha
Hauna akili unajua e? Hivi fedha halali kwa malipo ya shilingi elfu 20 inaweza fanya yote hayo au umejiskia kupayuka?.Tembeza vivalio
Au accecories
Tembeza michezo ya watoto
Tembeza visandles vya kike
Tembeza nguo za ndani za wanaume kwa wanawake na watoto
Tembeza samaki waliokaangwa
Tembeza nguo za watoto za mtumba
Vingine nimesahau.
Hongera mwenye akiliHauna akili unajua e? Hivi fedha halali kwa malipo ya shilingi elfu 20 inaweza fanya yote hayo au umejiskia kupayuka?.
Asante shushushuHongera mwenye akili
Millionea wa jf.