Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi wapendwa wana JF mi nina shamba la ekali 16 nje kidogo ya jiji(Dar) nataka kufuga kuku na nguruwe but sina pesa ya kuanzia mradi huo.naomba mawazo yenu nifanyeje niweze kutoka katika maisha aya magumu.
ni vipi amshtaki au amuwekee pingamizi wakati kila mtu atakuwa anamiliki sehemu yake? Au sheria ya ardhi ndio inasema hvyo?Usiuze sehemu ya hilo shamba eti ili upate mtaji, ukifanya hivyo utakaribisha matatizo kwa kuwa huyo uliyemuuzia huenda akaweka pingamizi usifuge na pengine akakushtaki.