Nataka kuwa Mweupe

Pierer

Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
76
Reaction score
43
Mwenye dawa au ushauri nitumie kitu gani niwe na ngozi laini isiwe nyeusi maana nilikuwa na chunusi[emoji12]
 
Kunywa maji mengi kama ray na vannesa
 
Aisee...nyie wanawake wa ajabu sana, mi huwa nawapenda sana wanawake weusi, nijimuona aliejibadilisha na kuwa mweupe nahisi kichefchef!
 
Duh..wengine wanataka weupe wengine tunalilia weusi.....anyways nasikia director joan ndo mkali wao...mwone huyo
 
Mwenye dawa au ushauri nitumie kitu gani niwe na ngozi laini isiwe nyeusi maana nilikuwa na chunusi[emoji12]

jipake chokaa ,uc lalie shuka lalia sanda, uwe unakula vitu vyeupe kama unga wa mahindi ucle ugali test izo vtu z kidunda utaendelea ivo ivo naweuc wako ka mzimu
 
Jifunze kujikubali vile ulivyo maana unapendeza!

Tafuta vitabu vya jinsi ya kujikubali na kuwa na mawazo chanya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…