Nataka kuwa na uso soft jamani

Status
Not open for further replies.

Juma WALEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
204
Reaction score
40
Napenda niwe na uso wa kungaa halaf uwe soft bila make up yaan hata nkitoka kuoga tu nangaa
 
Tafuta pesa kama wewe ni (me) huku kwenye michakato utakutana na yoote hayo kuanzia complexion ya usoni mpaka kucha za miguu!!!!!!

Siku ukiona wanaokutegemea wako na furaha na wana enjoy uwepo wako basi automatically utaridhika tu utalala pazuri,kula pazuri achilia mbali body products zenye hadhi na ubora ambazo zitaleata tu hiyo complexion unayoiota! !!!!!!!

Kama wewe ni mwananaume mwenzangu na kijana asee komaa na kujenga uchumi achana na kukomalia muonekano sijui nikitoka kuoga ooonh nikiwa kitandani!!!!!

After all hata ukiwa na muonekano mzuri halafu wanaokutegemea wanateseka we unaona fahari gani????!!

Wakubwa Babu D.C. Kaizer, Asprin, The Boss mshaurini huyu mtoto wa kiume!!!
 
Last edited by a moderator:
Dah!Mkuu we acha tu
Sijui tutakuwa nataifa la watu wa aina gani siku zijazo

Kijana unataka kuwa na uso soft?

Na dada zako wasemeje?
Mi nahamia Uganda nadhani huku Tz nimesingiziwa.......Ila jamani unaweza kuta ni "Ke" Anatumia ID ya Juma sema leo kajisahau kama alikuwa anatumia Id ya mwanaume....Kaumbuka ila kama ni mwanaume kazi ipo
 
Thats my boy

Asprin akija patanuka. Labda asiwe na konyagi kichwani
Dark City unaitwa na O.S.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…