Nataka kuwa na uso soft jamani

Nataka kuwa na uso soft jamani

Status
Not open for further replies.
Mi nahamia Uganda nadhani huku Tz nimesingiziwa.......Ila jamani unaweza kuta ni "Ke" Anatumia ID ya Juma sema leo kajisahau kama alikuwa anatumia Id ya mwanaume....Kaumbuka ila kama ni mwanaume kazi ipo

Mkuu huyo ni mwanaume

Vijana hawa wa siku hizi ni majanga kabisa

Kuna mwingine alikuwa anajisifia eti ana macho mazuri

Sasa kijana anasema ana macho mazuri sijui anakua anataka nini
 
Eiyer hebu shusha maombi hapa na upako huyu jamaa ajitambue kuwa yeye ni mwanaume na unaume na usoft wa uso tena duh balaa naona mchele mchele

Mkuu nimevurugikiwa na akili kabisa

Hawa ndio watakuja kuoa dada zetu na wanetu?

Si watakua wananyang'anyana karolite nao?

Eee Mungu mwenye nguvu hebu maliza hii Dunia!
 
Mkuu nimevurugikiwa na akili kabisa

Hawa ndio watakuja kuoa dada zetu na wanetu?

Si watakua wananyang'anyana karolite nao?

Eee Mungu mwenye nguvu hebu maliza hii Dunia!

Mkuu Eiyer hao ndio aise na tusimuomba Mungusijui kizazi kinaenda wapi
Mwanaume anataka kuwa soft ili iweje na kwa manufaa ya nani na kwa faida gani
 
Last edited by a moderator:

Haya ndio matokeo ya vijana kulelewa kama watoto wa kike

Inatakiwa turudie ile enzi ukikosea nyumbani unapewa kazi ya kung'oa kisiki

Uone kama hawa vijana watatamani kupaka poda

Mimi nakumbuka hadi nafikisha miaka 28 sikua najua kama powder inatumiwa na wanaume

Nilikua nimezoea kuiona kwa watoto na dada zangu!
 
Mkuu OLESAIDIMU hata mwanao wa kiume huwezi kumuacha aanze kujisifia dady mimi ni handsome au mimi nataka niwe na uso kama wa mama utamwambia wazi hayo sio yako wewe pambana na maisha
Sijui anataka huo uso soft afanye nao nini au ampendezeshe nani
Mwalimu gfsonwin hebu njoo hapa bana umepotea sana

Yaani kaka huyu jamaa kwa.ukweli kaniharibia jioni yangu kabisaaaa!!!!!!
Mwenyezi mungu atusamehe ila huyu mtu ashakum sio matusi ana composition kubwa kutoka kwa mzazi wake wa kike!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huyo ni mwanaume

Vijana hawa wa siku hizi ni majanga kabisa

Kuna mwingine alikuwa anajisifia eti ana macho mazuri

Sasa kijana anasema ana macho mazuri sijui anakua anataka nini
Mkuu umenifanya nicheke sana....Heti anajisifia ana macho mazuri?? Dah kweli Dunia inaelekea pabaya inamana sasa kama ana macho mazuri tumfanyeje sisi..mhhhh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom