Dah!Mkuu we acha tu
Sijui tutakuwa nataifa la watu wa aina gani siku zijazo
Kijana unataka kuwa na uso soft?
Na dada zako wasemeje?
Mi nahamia Uganda nadhani huku Tz nimesingiziwa.......Ila jamani unaweza kuta ni "Ke" Anatumia ID ya Juma sema leo kajisahau kama alikuwa anatumia Id ya mwanaume....Kaumbuka ila kama ni mwanaume kazi ipo
Juma Softiiiii wizaut makeup.
Tyta, picha pleaseeee.
Eiyer hebu shusha maombi hapa na upako huyu jamaa ajitambue kuwa yeye ni mwanaume na unaume na usoft wa uso tena duh balaa naona mchele mchele
Teh teh teeeeeeh.
Juma Softiiii.
Mkuu nimevurugikiwa na akili kabisa
Hawa ndio watakuja kuoa dada zetu na wanetu?
Si watakua wananyang'anyana karolite nao?
Eee Mungu mwenye nguvu hebu maliza hii Dunia!
OLESAIDIMU siwezi kabisa kukutenga ndugu yangu tuko pamoja sana sema tuu mihangaiko hii hii ya maisha mkuuKaka mafanikio yako yasitutenge undugu!!!!!!!
Umeniwahi.
Baba paroko wangu ninaekupenda shusha maombiiiii.
Mkuu Eiyer hao ndio aise na tusimuomba Mungusijui kizazi kinaenda wapi
Mwanaume anataka kuwa soft ili iweje na kwa manufaa ya nani na kwa faida gani
Mkuu OLESAIDIMU hata mwanao wa kiume huwezi kumuacha aanze kujisifia dady mimi ni handsome au mimi nataka niwe na uso kama wa mama utamwambia wazi hayo sio yako wewe pambana na maisha
Sijui anataka huo uso soft afanye nao nini au ampendezeshe nani
Mwalimu gfsonwin hebu njoo hapa bana umepotea sana
Yaani kaka huyu jamaa kwa.ukweli kaniharibia jioni yangu kabisaaaa!!!!!!
Mwenyezi mungu atusamehe ila huyu mtu ashakum sio matusi ana composition kubwa kutoka kwa mzazi wake wa kike!!!!!
Mkuu umenifanya nicheke sana....Heti anajisifia ana macho mazuri?? Dah kweli Dunia inaelekea pabaya inamana sasa kama ana macho mazuri tumfanyeje sisi..mhhhhMkuu huyo ni mwanaume
Vijana hawa wa siku hizi ni majanga kabisa
Kuna mwingine alikuwa anajisifia eti ana macho mazuri
Sasa kijana anasema ana macho mazuri sijui anakua anataka nini