Aisee
Siku nyingine usiite kwenye thread za kibwabwa muzee.
Tafazali sana.
Nisaidie na wewe kaka yangu. Watu tuko bize kusaka hela wengine wanataka kuwa softi. Lo!!Uko uganda au tanzania?? Mwanaume unajeremba alafu iweje!!!??
makubwa!Napenda niwe na uso wa kungaa halaf uwe soft bila make up yaan hata nkitoka kuoga tu nangaa
Nimekumiss ujue.
Huu ubwabwa uba nazi au samli? Maana mla nazi samli haiwezi.
huwa tunawashauri hivyo hivyo..........
haya mamii, habari za asubuhi lakini?
poa sana........sijui wewe.........
Ungenimisi kweli lazima ningekuta foleni ya PM.
Huu ubwabwa ndo kama ile habari ya boflo haina jeuri mbele ya chai.
Kuna wakati nlikuwa namlaumu Mungu kwa kutonipa mtoto wa kiume. Akili ziliponifunguka nikamshukuru sana Mungu kunijalia mabinti wawili wazuri kama mama yao. Inawezekana ameniepusha na kesi ya mauaji.
Ni heri binti yangu awe malaya wa kutupwa kuliko toto la kiume likuletee mwanaume mwenzake afu likuambie huku limebana pua "baba huyu ndo boifrendi wangu, anataka kuniwowa" Keimanina zake!!!
Vote for Mugabe!!!!
hapana chezeiya DODO. ya ukweheeee!
Karolaiti ndio habari ya mujini