Nataka kuwa Nabii

Mshangazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,143
Reaction score
4,462
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wiki kadhaa sasa nimekuwa nikifanya mazoezi ya kunena kwa lugha na nimeshaanza kuweka stock ya mafuta ambayo yatakuwa ya upako nitapomaliza kuyaombea.

Hii imetokana na mwito ndani yangu ambao umekuwa ukinithibitishia kabisa kwamba mie nina karama na talanta ya unabii

Kwa kuanzia nimeanza kufanya miujiza midogo midogo ambayo nitawajia kwenye comment na wale wenye mwito kama wangu mniambie ni mwelekeo upi nitaikuza miujiza yangu
 
Nipatie chupa moja nimpelekee yule mzee mwenzangu mjane 60 + πŸ™‚
Halafu by the way kama hutajali naomba unipatie nafasi ya mtunza kapu la sadaka.
 
Mshangazi nabii 😲 😲 😲
 
Nabii haombi kuwa, nabii hasomei, nabii hajadiliwi kwenye vikao. Nabii haandiki barua. Ila anachaguliwa na MUNGU na wakati mwingine anakataa ila humlazimu. Wengine matapeli tu.
 
Nabii haombi kuwa, nabii hasomei, nabii hajadiliwi kwenye vikao. Nabii haandiki barua. Ila anachaguliwa na MUNGU na wakati mwingine anakataa ila humlazimu. Wengine matapeli tu.
Kumbuka Eliya mtishibi alikuwa profesa katika chuo Cha manabii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…