Mshangazi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,143
- 4,462
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wiki kadhaa sasa nimekuwa nikifanya mazoezi ya kunena kwa lugha na nimeshaanza kuweka stock ya mafuta ambayo yatakuwa ya upako nitapomaliza kuyaombea.
Hii imetokana na mwito ndani yangu ambao umekuwa ukinithibitishia kabisa kwamba mie nina karama na talanta ya unabii
Kwa kuanzia nimeanza kufanya miujiza midogo midogo ambayo nitawajia kwenye comment na wale wenye mwito kama wangu mniambie ni mwelekeo upi nitaikuza miujiza yangu