Ok, Niko Chuo, nimejipanga nikapata Million moja na Laki mbili, nataka nifungue Barber Shop (Salon ya kiume) kwa hiyo Pesa katika eneo zuri kisha nitaiboresha taratibu; Mlango wa Alluminium - 300,000/=
Mashine mbili - 200,000/=
Kiti kimoja (cha kawaida) - 100,000/=
Vioo na Mapambo - 200,000/=
Sofa la wateja - 200,000/=
TV ndogo - 200,000/=
Hiyo ni bajeti ninayo ifikiria. Vipi jamani hii biashara itanitoa? Kwa mwenye ushauri na mawazo namkaribisha.
Ahsante