stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Mchongoma gani huo mkuu usije ukawa unafanana na ule wa Kiboko ya Wachawi?Achana na mambo ya majini na illegal issues.
Hata kama huna hata Mia mbovu unayo nafasi kubwa Tu ya kuwa millionaire mkuu .
Kuna fursa jitahidi Uje ofisini KIJITONYAMA MWANGA tower GHOROFA YA TATU, Ofisi inaitwa IREV. Husikilize Kwa makini then uone Kwa namna gani unaweza ukaijenga Njia yako. Au nitafute whatsup nikupe link YouTube uangalie Huo mchongo atleast utapata kuielewa. Mungu Ni mwema.