Nataka kuwa Tax and Payroll Consultant. What are the qualifications?

Nyam

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
134
Reaction score
72
Mimi ni dada, nataka kufungua kampuni ya Tax and Payroll Consultant. What are the qualifications?
 
kufungua kampuni hauhitaji kuwa na required profession unaweza kuwa na hospitali usiwe doctor of medicine, ingawa kuna professions ambazo haziitaji mtaji mkubwa mfano laywer (zinahitaji jina na umahili wako) hata kama una pesa ni vigumu lawyer mkongwe kuja kwako unless una law firm yenye jina...

sasa wewe kama unataka utoe ushauri wa kodi na payroll alafu haujui qualification nadhani swali lako ni requirements za kuanzisha kampuni ya tax na payroll consultancy (hence una mtaji wa kuajiri wafanyakazi.., wenyewe wataleta ujuzi)
 
Uzoefu unaonesha unatakiwa walau uwe umesomea shahada ya Uhasibu/Fedha ktk chuo kinachotambulikana.
Ndani ya kozi hizo utasoma kodi kiasi fulani.
Au uwe umesomea shahada ya kodi yenyewe ktk chuo kinachotambulika.

Mbali na hayo unatakiwa uwe umehudhuria CPA review na kufuzu cheti .

Yule mwenye kusomea UHasibu na Fedha pamoja na Kodi anakuwa kwenye nafasi nzuri kiutendaji kuliko aliyesoma kodi peke yake.
 
do you need such qualification

to do such a thing...
Mimi ni dada, nataka kufungua kampuni ya Tax and Payroll Consultant. What are the qualifications?
 
do you need such qualification


to do such a thing...

Indeed yes!

Hata kama utasema kwamba yeye labda afanye kuajiri wenye huo utaalamu itakuwa na changamoto sababu iko hivi;

Ili kuweza kupata usajiri rasmi wa hiyo firm mojawapo ya requirements ni pamoja na kwamba at least one of the partners or Directors must be a member of the relevant registered board of field under consideration!

Kwa labda aamue kumshawishi mtu mwenye sifa akikubali ndipo waingie ubia wa pamoja kuanzisha hiyo firm .

Mfano labda yeye achangie Mtaji jamaa awe anatoa utaalamu halafu faida wagawane sawa,

However in the longrun yule mtaalamu huwa anajitoa na kuanzisha ya kwake sometimes!

Karibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…