Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
to do such a thing...Uzoefu unaonesha unatakiwa walau uwe umesomea shahada ya Uhasibu/Fedha ktk chuo kinachotambulikana.
Ndani ya kozi hizo utasoma kodi kiasi fulani.
Au uwe umesomea shahada ya kodi yenyewe ktk chuo kinachotambulika.
Mbali na hayo unatakiwa uwe umehudhuria CPA review na kufuzu cheti .
Yule mwenye kusomea UHasibu na Fedha pamoja na Kodi anakuwa kwenye nafasi nzuri kiutendaji kuliko aliyesoma kodi peke yake.
Mimi ni dada, nataka kufungua kampuni ya Tax and Payroll Consultant. What are the qualifications?
do you need such qualification
to do such a thing...
Mimi ni dada, nataka kufungua kampuni ya Tax and Payroll Consultant. What are the qualifications?