K kalikumutima Senior Member Joined Oct 9, 2014 Posts 147 Reaction score 46 Dec 21, 2018 #1 Naomba kujua nawezaje kuwa wakala wa gas kwa kampuni lolote MF.Oryx na Mihan.je wapi zilipo depot za kampuni za gas kwa jijini Dar
Naomba kujua nawezaje kuwa wakala wa gas kwa kampuni lolote MF.Oryx na Mihan.je wapi zilipo depot za kampuni za gas kwa jijini Dar
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Dec 21, 2018 #2 Ninachojua kwanza lazima uwe na hela. Mengine wataongezea wengine.
Mr dark light JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 298 Reaction score 253 Dec 21, 2018 #3 1.Uwe na tin number 2. Uwe na leseni ya biashara 3. Uwe na cheti cha fire 4. Watu wa fire wanakuja kukagua ofisini kwako kama panafaa kwa ajili ya biashara ya gas
1.Uwe na tin number 2. Uwe na leseni ya biashara 3. Uwe na cheti cha fire 4. Watu wa fire wanakuja kukagua ofisini kwako kama panafaa kwa ajili ya biashara ya gas
K kalikumutima Senior Member Joined Oct 9, 2014 Posts 147 Reaction score 46 Dec 21, 2018 Thread starter #4 Vyote ninavyo cheti cha fire kipo kwenye mchakato nilishajaza fomu na malipo ya cheti na fire extinguisher nasubiria waje kukagua eneo la biashara tu
Vyote ninavyo cheti cha fire kipo kwenye mchakato nilishajaza fomu na malipo ya cheti na fire extinguisher nasubiria waje kukagua eneo la biashara tu