Nataka kuwa wakala wa gesi

Nataka kuwa wakala wa gesi

kalikumutima

Senior Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
147
Reaction score
46
Naomba kujua nawezaje kuwa wakala wa gas kwa kampuni lolote MF.Oryx na Mihan.je wapi zilipo depot za kampuni za gas kwa jijini Dar
 
1.Uwe na tin number
2. Uwe na leseni ya biashara
3. Uwe na cheti cha fire
4. Watu wa fire wanakuja kukagua ofisini kwako kama panafaa kwa ajili ya biashara ya gas
 
Vyote ninavyo cheti cha fire kipo kwenye mchakato nilishajaza fomu na malipo ya cheti na fire extinguisher nasubiria waje kukagua eneo la biashara tu
 
Back
Top Bottom