Nataka kuwah msimu wa mchele mashambani hivi ni mwezi wa ngapi mavuno yanachanganya na mchele mashambani hupatikana kwa bei rahisi

aBuwash

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2023
Posts
262
Reaction score
497
Habarii natak mwaka huu niingie mwenyewe chaka kwenda kufunga mzigo wa mchele na kuja nao hapa dar

Naombeni muongozo wenu fremu ninayo mombasa ipo sehem yeny mzunguko mkubwa wa watu pia ni karib na lami ko wateja sina ila kutokana na location naamin sitahangaika sana kutafuta wateja wa kuanza nao.

Pili hii biashara ndo mala yang ya kwanz ko naomba kujua mkoa upi na chaka lipi linatoa mchele safi

Na jinsi gani naweza kugundua mchele safi yan kiufupi vitu vya kuzingatia unaponunua mchele huko vijijin

Pia kingine faida mfano nikichuka tani mbili faida inaweza kurange vp nikija kuuza na itachukua mda ganii

Wana jf naombeni msaada wenu sana lengo ni kujikomboa na umaskini
 
Nenda chaka sasa sio mpaka msimu ufike ili upate experience b4 msimu
 
Habarii natak mwaka huu niingie mwenyewe chaka kwenda kufunga mzigo wa mchele na kuja nao hapa dar

Naombeni muongozo wenu fremu ninayo mombasa ipo sehem yeny mzunguko mkubwa wa watu pia ni karib na lami ko wateja sina ila kutokana na location naamin sitahangaika sana kutafuta wateja wa kuanza nao.

Pili hii biashara ndo mala yang ya kwanz ko naomba kujua mkoa upi na chaka lipi linatoa mchele safi

Na jinsi gani naweza kugundua mchele safi yan kiufupi vitu vya kuzingatia unaponunua mchele huko vijijin

Pia kingine faida mfano nikichuka tani mbili faida inaweza kurange vp nikija kuuza na itachukua mda ganii

Wana jf naombeni msaada wenu sana lengo ni kujikomboa na umaskini
Tabora.

Nitafute au nipe mawasiliano yako PM nikuunganishe sehemu utakayokuja kupata mchele mzuri easily and accessible
 
Ubora wa barabara huko MPANDA sasa ivi mpunga na mchele ni bei sana tofauti na zamani kipindi cha barabara mbovu.
Nenda sengerema kijiji cha BUKOKWA utanikumbuka gunia la mpunga hadi elfu 30 .
 
Kama ata nsimu tu haujui, utapigwa mkuu. Ungechukua kwanza mwaka au msiku kujifunza
Sio kama sijui mikoa inatofautiana misimu na ndo maana nikataka kujua kwanza
 
Back
Top Bottom