Nataka kuwah msimu wa mchele mashambani hivi ni mwezi wa ngapi mavuno yanachanganya na mchele mashambani hupatikana kwa bei rahisi

Sio kama sijui mikoa inatofautiana misimu na ndo maana nikataka kujua kwanza
Utatapeliwa wewe acha ujinga kwani hauna watu unaowajua kwa sura mpaka uje humu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mi nataka mwongoz nasiwez mfata mtu pm nimeomba ushauri mwnye nia ya kutoa atatoa hapa kwa ajili ya wote
 
Hapo mombasa frem ni shilingi ngapi kwa mwezi?
 
geita, kahama, mpanda, tabora, kuanzia mwezi huu mwishoni mambo ni safi
 
Kwa namna ulivyo andika, nachelea kusema kwamba ulikua haujajiandaa mkuu. Ebu angalia kitu kingine cha kufanya.
 
Mmeshajazana huko kuwa fursa ya kufuata mchele mashambani ina lipa,na ww bila reseach unataka uingie kichwa kichwa,relax mkuu.Fanya tafiti taratibu ikiwezekana kaweke Kambi mbalali hukooo hata wiki 2,ila kuongea tu ni uongo
 
Saw mkuu nimekuelewa
 
Tumeshaanza kuvuna ila hatuuzii mashambani. Mashineni gunia sasa hivi tunauza 75k!
 
Msimu ndio huu mkuu kwahyo kama upo serious anza mchakato
 
Shambani hakuna mchele, kuna mpunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…