Nataka kuwajua Wana JF wanaonikubali na wanaonipinga

Nataka kuwajua Wana JF wanaonikubali na wanaonipinga

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu samahanini kwa kuwasumbua akili.kifupi nataka kujua watu wangu ambao tunaenda nao sawa humu ndani na wale ambao hawanifagilii
Kama una yakubali madini yangu sio miyeyusho andika "1"
Kama unaona nachotema humu ndani Ni ushubwada mtupu andika "0"
 
Mimi kwa kifupi nd nimekuona leo[emoji26][emoji26] ila tabia za ndege john ni 50/50... Anakula sana mizoga na vitu vichafu vichafu lakini pia ni ndege Mwenye uwezo wa kupaa mbali sana ad kufikia sehem ambayo hakuna oxygen na kisha hutumia oxygen ambayo ameihifadhi kwenye (Air sac)

MAARABOU STORK

😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
 
Sio lazima kila siku uanzishe uzi mkuu!
Kama huna cha kuongea basi unakuwa mchangiaji tu.
Mbona sie wazee wa kucomment kidogo na kutupia viji "like" vingiiii tunaenjoy sana asee!

Kwangu mm sometimes unaandikaga point ila tu pumba ndo nyingi sana pamoja na yote huwa nakutupia viji like tu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina hio nashukuru kwa neema hi ya mchango wako.. bado nipo karibu mtu wa MUNGU
 
Sio lazima kila siku uanzishe uzi mkuu!
Kama huna cha kuongea basi unakuwa mchangiaji tu.
Mbona sie wazee wa kucomment kidogo na kutupia viji "like" vingiiii tunaenjoy sana asee!

Kwangu mm sometimes unaandikaga point ila tu pumba ndo nyingi sana pamoja na yote huwa nakutupia viji like tu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maisha yenyewe yapo kasi acha TU tuendelee kuinjoi nafasi HUWEZI kujua usikute wengine furaha yetu Nikuona tumepost. Btw Nimeuchukua ushauri wako kwa mikono miwili..Asante kwa like zako unafanya vizuri sana
 
Back
Top Bottom